Author admin

13 Jan

SEPESHA RUSHWA SPORTS & JOGGING CLUB.

  Ni Club mpya ya michezo inayojumuisha WANAFUNZI WAVYUO VYOTE na WANANCHI wapenda michezo katika  jijini DODOMA. Club hii inatarajiwa kuzinduliwa rasmi siku ya Jumapili ya tarehe 28/01/2024 katika Uwanja […]

READ MORE

13 Jan

MABALOZI WA SAUTI YA WAPINGA RUSHWA TANZANIA (ANTI CORRUPTION VOICES AMBASSADORS – ACVF -AMBASSADORS).

Nani anastahili kuwa Balozi wa Sauti ya Wapinga Rushwa Tanzania (ACVF AMBASSADOR? Mtu yeyote bila kujali umri, jinsia na kazi anayofanya na mahali alipo anaweza kuwa Balozi wa Sauti ya […]

READ MORE

13 Jan

Taarifa ya UTOAJI HUDUMA KATIKA WIKI YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU.

TAARIFA YA UTOAJI HUDUMA KWA WANANCHI KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU KITAIFA VIWANJA VYA NYERERE SQUIRE – DODOMA TAREHE 05 – 10/12/2023 1.0 UTANGILIZI: ACVF […]

READ MORE

18 Dec

Sepesha Rushwa Marathon 2023

Sepesha Rushwa Marathon 2023 Badili Tabia, #SepeshaRushwa Following a successful Sepesha rushwa marathon 2023, we are delighted to share with you moments and highlights of the event. Marathon Attendance 0 […]

READ MORE

9 Jul

Viongozi na Mabalozi wa Sauti ya Wapinga Rushwa Tanzania (ACVF AMBASSADORS) washiriki kwa KISHINDO Uzinduzi wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika yaliyofanyika jijini Arusha leo.

“Leo ni siku ya uzinduzi wa siku ya mapambano dhidi ya rushwa Afrikaambapo pia tunaazimisha miaka 20 ya utekelezaji wa mapambano dhidi ya rushwa uliosainiwa toka mwaka 2003.” ~ George […]

READ MORE

7 Jul

Picha za Matukio ya Semina Maalumu kwa Mabalozi wa ACVF TANZANIA jijini Arusha.

READ MORE

7 Jul

Picha za Matukio ya Uzinduzi wa Kampeni ya Badili Tabia Sepesha Rushwa jijini Arusha

Mnamo Tarehe 30/4/2023 mwaka huu lilikuwa jambo kubwa lililogubikwa furaha na kutengeneza Historia jijini Arusha katika Ukumbi wa Golden Rose – Arusha. Picha Kali za matukio muhimu katika siku ya […]

READ MORE

7 Jul

Picha Za Mkutano WA MKUU WANACONGO WILAYA YA UBUNGO.

Badilisha tabia, sepesha rushwa ndiyo kaulimbiu yetu, Sauti ya vijana waking rushwa na tuna ungana na mkuu wa NACONGO WILAYA ya UBUNGO na jamii zote kwa ujumlaa kuhakikisha rushwa inapingwa […]

READ MORE

7 Jul

Picha za Matukio ya Kongamano la Jumuiya za Wapinga Rushwa vyuo vya DUCE na TIA.

Acvf Foundation tume wafikia wapinga rushwa vyuo via dude na Tia , zifwatazo ni picha za matukio katika kongamano hill

READ MORE

7 Jul

Here are the 5 main causes of corruption and solutions

Anticorruptionvoices (Avcf) youth organization lead you to know and take actions,What are the course and solution for corruption in Tanzania below are the clear tips ; What are the 5 […]

READ MORE