Uzinduzi wa kampeni ya BADILI TABIA #Sepesha Rushwa ulifanyika tarehe 01/05/2022 katika Ukumbi wa Kebbys Hotel jijini Dar Es Salaam na Mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikuwa ni Ms. BIBIE MSUMI Mkuu wa Dawati la Elimu kwa Umma mkoa wa Kinondoni. Uzinduzi huo ulinogeshwa na wasanii mbali mbali wakiongozwa na Bi. Tabu Mtingita.

Click here for more photos

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *