Wanafunzi wa Falsafa na Maadili ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam pamoja na mabalozi wa Sauti ya wapinga Rushwa (ACVF AMBASSADORS) walikutana na kufanya mdahalo uliojikita katika kujadili ni nini kinachosababisha uwepo wa vitendo vya rushwa na uvunjifu wa maadili katika taasisi za Serikali na vyombo vyenye mamlaka ya mapambano dhidi ya rushwa na maadili yanachukua hatua gani.

Click here for more photos

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *