Mabalozi wa Sauti ya wapinga Rushwa mkoa wa Dodoma (ACVF AMBASSADORS) walipata mafunzo ya namna kutumia mifumo ya kidigitali katika kampeni yao ya BADILI TABIA SepeshaRushwa. Mafunzo yaliyoendeshwa na Bi. Sabeth Afisa wa Dawati la Elimu kwa Umma TAKUKURU mkoa wa Dodoma na Ndg RODRICK NADE Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Road To Success Initiatives Tanzania kutoka Dar es Salaam.

Click here for more photos

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *