Mnamo Tarehe 30/4/2023 mwaka huu lilikuwa jambo kubwa lililogubikwa furaha na kutengeneza Historia jijini Arusha katika Ukumbi wa Golden Rose – Arusha. Picha Kali za matukio muhimu katika siku ya uzinduzi wa kampeni ya badili tabia sepesha rushwa jijini Arusha lililo ongozwa na viongozi wetu wa adilifu wenye uaminifu makubwa (Acvf)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *