Badilisha tabia, sepesha rushwa ndiyo kaulimbiu yetu, Sauti ya vijana waking rushwa na tuna ungana na mkuu wa NACONGO WILAYA ya UBUNGO na jamii zote kwa ujumlaa kuhakikisha rushwa inapingwa vikali nchini na hata njee ya nchi, Tazama picha za tukio hili la mkutano huu.,

Tafadhali endelea kutembelea tovuti yetu kwa Malala, picha, dondoo nk www.anticorruptionvoicers.or.tz unakaribishwa kungana na kushirimiana nasi katika harakati hizi za mapambano thidi ya rushwa, Karibuni sana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *