“Leo ni siku ya uzinduzi wa siku ya mapambano dhidi ya rushwa Afrika
ambapo pia tunaazimisha miaka 20 ya utekelezaji wa mapambano dhidi ya rushwa uliosainiwa toka mwaka 2003.” ~ George Simbachawene – waziri na ni heshima kubwa kwa Tanzania kuwa mwenyeji wa siku hii Muhimu ya mapambano dhidi ya rushwa Africa.
Mh Hemed Suleiman Abdullah – Makamu wa pili wa Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar.

“Rushwa ni adui na kikwazo kwa maendeleo ya sekta zote”
Mh Hemed Suleiman Abdulla- Makamu wa pili wa Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, Mapambano dhidi ya rushwa ni wajibu wetu sote na si wa @TakukuruTz pekee, hivyo ni wajibu kushikamana na kushirikiana katika mapambano haya.

Katika Kuelekea katika maadhimisho ya siku ya mapambano dhidi ya rushwa Afrika taasisi ya anticorruption voices foundation @ACVTanzania tuko mubashara Mkoani Arusha.

Rushwa ni adui na kikwazo kwa maendeleo ya sekta zote na hakika Mapambano dhidi ya rushwa yataendelea bila kuchoka.

BadiliTabiaSepeshaRushwa

KataaUpigaji

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *