Category SEPESHA RUSHWA

9 Jul

Viongozi na Mabalozi wa Sauti ya Wapinga Rushwa Tanzania (ACVF AMBASSADORS) washiriki kwa KISHINDO Uzinduzi wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika yaliyofanyika jijini Arusha leo.

“Leo ni siku ya uzinduzi wa siku ya mapambano dhidi ya rushwa Afrikaambapo pia tunaazimisha miaka 20 ya utekelezaji wa mapambano dhidi ya rushwa uliosainiwa toka mwaka 2003.” ~ George […]

READ MORE

7 Jul

Picha za Matukio ya Semina Maalumu kwa Mabalozi wa ACVF TANZANIA jijini Arusha.

READ MORE

7 Jul

Picha za Matukio ya Uzinduzi wa Kampeni ya Badili Tabia Sepesha Rushwa jijini Arusha

Mnamo Tarehe 30/4/2023 mwaka huu lilikuwa jambo kubwa lililogubikwa furaha na kutengeneza Historia jijini Arusha katika Ukumbi wa Golden Rose – Arusha. Picha Kali za matukio muhimu katika siku ya […]

READ MORE

7 Jul

Picha Za Mkutano WA MKUU WANACONGO WILAYA YA UBUNGO.

Badilisha tabia, sepesha rushwa ndiyo kaulimbiu yetu, Sauti ya vijana waking rushwa na tuna ungana na mkuu wa NACONGO WILAYA ya UBUNGO na jamii zote kwa ujumlaa kuhakikisha rushwa inapingwa […]

READ MORE

16 Feb

SULUHISHO YA RUSHWA VYUONI

READ MORE

21 Jan

SEPESHA RUSHWA MARATHON 2022

Mbio za SEPESHA RUSHWA MARATHON kwa mwaka 2022 jijini Dodoma zilifana na kufurahiwa na wakimbiaji wote walioshiriki mbio hizo.

READ MORE

21 May

Digital Skills MASTERCLASS & BADILI TABIA #SepeshaRushwa Campaign.

Mabalozi wa Sauti ya wapinga Rushwa mkoa wa Dodoma (ACVF AMBASSADORS) walipata mafunzo ya namna kutumia mifumo ya kidigitali katika kampeni yao ya BADILI TABIA SepeshaRushwa. Mafunzo yaliyoendeshwa na Bi. […]

READ MORE

13 May

The Dialogue/Mdahalo.

Wanafunzi wa Falsafa na Maadili ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam pamoja na mabalozi wa Sauti ya wapinga Rushwa (ACVF AMBASSADORS) walikutana na kufanya mdahalo uliojikita katika kujadili ni […]

READ MORE

1 May

BADILI TABIA #SepeshaRushwa Launch.

Uzinduzi wa kampeni ya BADILI TABIA #Sepesha Rushwa ulifanyika tarehe 01/05/2022 katika Ukumbi wa Kebbys Hotel jijini Dar Es Salaam na Mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikuwa ni Ms. BIBIE […]

READ MORE

Suma Oscar Mulungu

Mwenyekiti wa ACVF Tànzania

Kubega Dominiko

Katibu Mtendaji ÀCVF Tanzanià

Timothy Kija Malemo

Mwenyekiti ÀCVF ARUSHA.